Umoja wa waliooa Machame & Mbeya (UMAMBE)

mnyakyusa na mchaga sipatii ndoa itakuaje hiyo MIMI SIOI MCHAGA WANYAKI WOTE WA TUKUYU HATUWAOI WACHAGA
wakiona umepata mali nyingi wanakupeleka firidausi
 
Hizo story tuuu.. Me nilijua yamekukuta wewe.. Acheni kuaminishwa story za uongo

Huyo jiran yako atakuwa na matatizo mengine tu na sio uchaga WA mkewe
Sasa kwa akili yako unafikiri kuna atakayekubali apa kwamba yamemkuta??? Lakini mambo ya ndoa yanabaki siri ya wanandoa
 
Sasa kwa akili yako unafikiri kuna atakayekubali apa kwamba yamemkuta??? Lakini mambo ya ndoa yanabaki siri ya wanandoa
Kumbe mambo ya ndoa ni siri ya wanandoa..... Asa we ya jiran yako umeyajulia wapi????
 
Kupitia umoja huu tutapeana uzoefu na namna ya kukabiliana na changamoto hizi.
CC. Kyela Representative
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…