Umoja wa waliooa Machame & Mbeya (UMAMBE)

Hahaaaaa

Siri sirini.. Hapo sasa we umejuaje Siri za watu???
nami mtu ndo maana nikajua ya watu!!!

Maisha ya mambo mengi usishangae ata yako mwingine akayajua,,,inategemea na uhimili wa mdomo wako tu
 
Ndio uamin sasa kuwa matatizo ya hyo ndoa hayana uhusiano na kabila la mwanamke
 
basi umekosa bahati mahsusi ya kuolewa na mimi..kingine nachowapendea wachaga wanajielewa sana, ukimuoa huwezi kubaki na umaskini,wanapenda vitu vizuri halafu wanajua kupika kama wasambaa
 
Tumejaliwa kwakweli... Ashukuriwe Mungu
 
basi umekosa bahati mahsusi ya kuolewa na mimi..kingine nachowapendea wachaga wanajielewa sana, ukimuoa huwezi kubaki na umaskini,wanapenda vitu vizuri halafu wanajua kupika kama wasambaa
Kwenye kupika uongo, wanakologa tu!!! Kama wewe unawasifia wachaga kupika sijui kabila lenu wanapikaje
 
kama huamini nenda chuo chochote hapa tz angalia wasichana wazuri wote uliza wanatokea wapi,utaambiwa kaskazini
Nimekaaa kabisa kwao haina haja kwenda chuo, labda kwasabu uzr upo machoni mwa mtu, kwa mm lazima mzigo uwepo na mguu uwe na mvuto kidogo sasa hawa hawana hizo sifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…