Hakuna uongo mpya[emoji108]mnatakaga mdanganywe ndo mkubali..ngoja niandae uongo mpya ambae hujawahi kuusikia popote, lazima unase..bora ungesema we msandawe tu
kwaiyo unataka kujidanganya kwamba nimekushindwa??Hakuna uongo mpya[emoji108]
Nashangaa wanatuharibia wanyaki tehVipi mamii unahusika?
Vipi mamii unahusika?
Ndivo ilivokwaiyo unataka kujidanganya kwamba nimekushindwa??
labda nisiamue tu, huna ujanja huo wewe..nina uhakika na hiloNdivo ilivo
Usiamue tulabda nisiamue tu, huna ujanja huo wewe..nina uhakika na hilo
Swt mangiiibasi umekosa bahati mahsusi ya kuolewa na mimi..kingine nachowapendea wachaga wanajielewa sana, ukimuoa huwezi kubaki na umaskini,wanapenda vitu vizuri halafu wanajua kupika kama wasambaa
Hahahaaaa!! Naikumbuka hiyo, nilicheka aisee.Nashangaa wanatuharibia wanyaki teh
Nimekumbuka ile story ya nani sijui yule, alokuwa na binti mnyaki afu binti akamfumania na mwanamke wa kipare, mnyaki katoa dozi ya mabanzi, baby hata ubavu wa kuamulia hana teh
Unajivunia shida? Kazi yako ngumu aisee.Kiruuu.... [emoji15] [emoji15] . Mmeamua kutuundia chama[emoji23] [emoji23]
Najivunia umachame wangu.. [emoji120] [emoji120]
Mmh wanyaki sasa hivi, mtuache tu. Umeona tulivyomshukuru prezdaa kuchagua mkoa wetu kupatwa na jua. [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahahaaaa!! Naikumbuka hiyo, nilicheka aisee.
Yaani nilichekaa, kila nikiisikiliza ile clip nakukumbuka basi kicheko kinazidi.Mmh wanyaki sasa hivi, mtuache tu. Umeona tulivyomshukuru prezdaa kuchagua mkoa wetu kupatwa na jua. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sasa hivi jina langu ni Antupile mwakajua tehYaani nilichekaa, kila nikiisikiliza ile clip nakukumbuka basi kicheko kinazidi.
Aisee mmewapiku wasukuma, nimewavulia viatu.
Msijali na mwakani mtachaguliwa.
Antupile Mwakajua MwakupatwaSasa hivi jina langu ni Antupile mwakajua teh
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Antupile Mwakajua Mwakupatwa
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Unajivunia shida? Kazi yako ngumu aisee.