wakuu.
hili sio mzaha kabisa maana manyanyaso yamezidi,
tuungane na kumchagua rais wetu ambae ataweza kutetea maslahi yetu mbele ya jamii kwa mfano kuuelezea umma athari yetu kuoga maji ya baridi na kusinyaa kwa maumbile.
haiwezekani tusemwe kila siku hii ni aibu kabisa.