umoja wa wenye vibamia tuchague Rais wetu mwaka huu , ili atetee maslahi yetu.

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
wakuu.
hili sio mzaha kabisa maana manyanyaso yamezidi,
tuungane na kumchagua rais wetu ambae ataweza kutetea maslahi yetu mbele ya jamii kwa mfano kuuelezea umma athari yetu kuoga maji ya baridi na kusinyaa kwa maumbile.
haiwezekani tusemwe kila siku hii ni aibu kabisa.
 
SIDHANI KAMA W/KE WOTE WANASEMA KUHUSU W/UME MENYE VIBAMIA ,WENGINE WANAPENDA WANAUME WENYE HAYO MAUMBILE MADOGO AU SAIZ YA KATI
 
Ulemavu upo wa aina nyingi.
Ulemavu wa ngozi(albino)
Ulemavu wa miguu na mikono nk

Kuwa na uume mkubwa nao ni ulemavu kama ulemavu mwingine wowote. Kila kiungo kinatakiwa kiwe cha kawaida. Ni sawa mtu uwe na pua kuubwaa au macho makuubwa ukachukia ile hali. Ila ukiwa na uume mkubwa unafurahia.

Hivyo hivyo vise verse kwa vibamia.

Note.
Kwenye game vibamia ndio wana bed parformance kuliko team mikunyenge.
 
Ngoja aje mkewe lemutuz kochochanel aanze kulalamika mnamdhalilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…