Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

Nakumbuka wakati jay dee anatoa machozi mimi nilikua primary na hadi sasa nimekua mtu mzima, endapo jide alitoa machozi alikua na 20+rys basi sasa hivi atakua na zaidi ya 40yrs
 
Mkuu bado unataka kumuongezea miaka tu ina maana 40 haimtoshi.

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Naona kamuonea ampe Haki yake
 
Huyo alishapata msamaha wa rais asiongezeke miaka
Mkuu mungu anakuona aseee...


[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kuna star mwingine si maarufu sana ila ana ujuzi toka JF muonekano wake ni kama ana miaka 30 kumbe yupo na 21 si mwingine ni DMCT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…