Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye bus naona kamsusia mzee mpaka adondoke nalo
🤣🤣 Kamevaa tinted
Samahani mkuu rudia tena kusoma comment yakoMzee hatari sana huyu! Hapo alipo nioa shaka atakuwa kwenye 80+!! Na bado anakanyaga mafuta kudadek!!!
Eti?????Mzee hatari sana huyu! Hapo alipo nioa shaka atakuwa kwenye 80+!! Na bado anakanyaga mafuta kudadek!!!
Hili ndio jibu sahihi,kama macho na masikio na afya yake ni njema basi anapiga kazi kama kawaidaAs far as yupo fit, eye sight yake ipo sharp, driving licenses yake ipo valid, sioni why akome kuendesha hilo bus
Typo imekaa vibaya [emoji16][emoji16][emoji16]Samahani mkuu rudia tena kusoma comment yako
Nimecheka sana hii typo aisee [emoji16][emoji16][emoji16]Mzee hatari sana huyu! Hapo alipo nioa shaka atakuwa kwenye 80+!! Na bado anakanyaga mafuta kudadek!!!