Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Kama kweli unaogopa kumpa mtoto wa watu mimba, basi tambua fika wewe bado huna sifa ya kuitwa baba kama sisi baba zako humu jukwaani.Ni umri upo sahihi kupata moto Nina miaka 25 vipi nimechelewa au bado maana napambana naogopa kumpa moto wa watu mimba wakati maisha yangu bado sijaweka sawa vipi nitakua nimechelewa aud bado maaana nakua na mawazo sana ya kupata moto na kuweka maisha yangu vizuri
kuwa serious na maisha ni akili ya mtukupanga ni chagua maamuzi ndo kila kitu usipofanya uamuzi hakuna kitakachotokea, atleast hadi 30 uwe na mtoto wawili au mmoja, hii itakusaidia kuwa serious na maisha
yes mind set na kujuwa kipi kinahitajikakuwa serious na maisha ni akili ya mtu
kuna waliozaa na hawajui kipi kinahitajika,yes mind set na kujuwa kipi kinahitajika
yeskuna waliozaa na hawajui kipi kinahitajika,
Hahaaaaaa tunafufua nyuzi tu za Bwana ChristopherpaulBado bado sana
ni hatariNi umri upo sahihi kupata moto Nina miaka 25 vipi nimechelewa au bado maana napambana naogopa kumpa moto wa watu mimba wakati maisha yangu bado sijaweka sawa vipi nitakua nimechelewa aud bado maaana nakua na mawazo sana ya kupata moto na kuweka maisha yangu vizuri
Kumbe ni Christopher Paul na sio Chief GodloveTajiri wa JF kumbe alianza kwa adabu ila sasa anashusha matusi tu