mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 725
- 1,282
Hii safi kiongozi naichukua👍Mimi nimeanza kumfundisha mwaka huu baada ya kumaliza darasa la Saba maana alikuwa anaomba kila siku ajue kuendesha gari
Mtoto atapokelewa huko driving school?Ni vizuri mtoto ukampeleka shule ya udereva kabla ya kuanza kuendesha gari ya nyumbani.
sawa. sababu?Ni vizuri mtoto ukampeleka shule ya udereva kabla ya kuanza kuendesha gari ya nyumbani.
duh. kiongozi autaki masihara. unataka dogo apite mulemule ulipopita wewe🤣Mi niligusa gari na miaka 30, nayeye mpaka afikishe hiyo
Dereva anapojifunza mwanzoni kabla hajaanza kuelewa, ni rahisi kuharibu gari. Inafaa anapoanza kuendesha gari ya nyumbani awe ufahamu kidogo.sawa. sababu?
Kwa maana hiyo ni vizuri akaanza kujifunza akifikia umri unaoruhusiwa.Mtoto atapokelewa huko driving school?