<br />10 yrs Husninyo?Si kawaida!!
<br />Hapo tutadanganyana.
Kwa ujumla child spacing inategmea AFYA ya mama, njia ya kujifungua (kawaida au kwa operesheni), hali ya ELIMU na UCHUMI wa watengenezaji wa hao watoto, kwa watu maskini ujumbe ni kuwa spacing iwe si chini ya miaka miwili, lakini kama mama ana afya njema, anajifungua kwa njia ya kawaida na uchumi wako unaruhusu basi ruksa kuchagua spacing ambao ni convenient kwenu hata kama ni chini ya mwaka mmoja.ni umri/muda gani wa watoto wanaozaliwa wanastahili kupishana
It as if mnamwingilia Mungu..........okey mie nitapishananisha miaka 10 ili akikua anisaidie kulea mwenzie..............lakini ni lazima kuwa na watoto zaidi ya 1?
mimi nimeolewa nikiwa 26, next wk nagonga 35, nimeshajingua watoto 4, na funguo nimeweka hata ikija tsunami haifungui! sasa nakimbizana kuwatafutia riziki nikiwa na nguvu kibao! msiogope kuzaa!