Umri halisi wa celebrities wa kibongo. ..Part 1.

huyo bambo ndo aache uwongo kabisa haaa haoni hata haya, eti kazaliwa 1985? huyu babu kizee nimeanza kumuona siku nyingi tena akiwa m2 mzima hivo hivo? watu huwa wanadanganya kurudisha nyuma miaka miwili yeye miaka zaidi ya kumi!!!!!!!!!!!!!
 
umemsahau lulu.mwaka huu katimiza miaka kumi na nane kwa mara ya pili. uwiii hiii ndo bongo bana full usanii.
 
Eti bob juniour nae anadai amezaliwa 1989 na wakati sura imekomaa kama jiwe.nakwambieni kuelekea 2015 tutaona na kusikia mengi.
 
huyu na mwandanji(godfrey bony) toka mwaka 99 wakiwa wanachezea timu ya 'mount' walikuwa hivyohivyo,atakwambia ana miaka 30. Yule anamkaribia Le Mutuz.

heh heh heh ndio maaana nisipopitia JF nawehuka
 
Hahahahaha mimi naomba nicheke yaani vituko n huruma hawajifehemu hawa
 
Nitatoa na part 2
Na ukichukulia hawakula chakula bora utotoni hawa celebrities wote ni vikongwe kama sisi tu!

Kuna siku nilikaa meza moja na Irene Uwoya pale samaki samaki ngozi yake nyuma ya elbow ya mkono imejikunja tayari ahahahaha

Ngozi ya elbow ikijikunja kitaalam ukitumia caborn 14 ina maana ni above 35 ahahahahahah!
 

hapana ni madhara ya cosmetics,,cousin wangu kasoma naye uganda na picha zao ukimuona alikuwa mdogo na ryt nw cousin wangu anamalizia udaktari mwaka wa 5
 
aisee,.. jf kuna kila fani
 

Anasemaga amezaliwa mwaka 1988
 

nasikia kuna umri halisi na umri wa kazi mkuu,hvy huu wanaoutangaza ni umri wa kazi.
 
Nasikia hemedi the Phd nae anasemaga ana 16years.kwa mnao mfahamu ni kweli?
 

Nani kakudanganya pius na athuman idd ni ndugu? Fuatilia hanari pius kisambale ni mtu wa kakola kahama kule kwenye machimbo ya dhahabu baba yake mpaka leo yupo kule mama yake alifariki mwaka juzi hata kwenye mazishi hakuenda eti kisa mama yake alikuwa akidaiwa mshirikina huyu dogo alitoka kule akiwa anatafuta maisha ndio akakutana na athuma idd dom wakawa wanaishi wote akakana na kwao akajifanya na yeye ni ukoo wa kina athuman idd yani dogo ni kama mtumwa.kama unakumbuka kuna kipindi gazeti la mwanahalisi lilitoa makala likielezea kuhusu historia ya madini huko kakola baba ake mzee kisambale pia alionekana akilalama sana
 
Ngassa ana miaka 24 huku ana mtoto wa kike mwenye miaka 8
Bahanuzi kazaliwa 1992 huku ana mtoto wa miaka 4.
Nurdini Bakari alikuwa Simba ana miaka 23 Serengeti Boys akasema ana miaka 16 ndo kisa cha kufungiwa Serengeti Boys. Leo hii ukimuuliza atakuambia ana miaka 25,
Athumani Machuppa yupo Sweden kaandika ana miaka 26 wakati Bongo kacheza misimu 13 ukiachana na huko Sewden ameshacheza na huu ni msimu wa 4 unaenda.
Okwi wa Uganda kazaliwa 1991 hahahah Sura inasema wa 1984-5 kabisa.

Ukitaka kujua Waafrika tunadanganya sana umri angalia kwenye mpira huwezi kumkuta anacheza mpira hadi kufikia miaka 38-40 kama kina Giggs, Beckham, Scholes..
Mwafrika akishafikisha miaka 29 mpira umeisha atajilazimisha sana sana miaka 30 na hapo Akili inataka lakini Mwili Hautaki waangalie Okocha, Kanu, Drogba mpira umeisha mapema au Asamoh Gyan wa Ghana katoka Uingereza kaenda Uarabuni anasema ana miaka 27 wakati wenzake ndo wanaenda kumalizia mpira.
Waafrika waliosema ukweli miaka yao ni Hossam Hassan wa Misri, Madaraka Suleiman n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…