Umri halisi wa celebrities wa kibongo. ..Part 1.

haa haa haaa Malafyale umeniacha hoi
 
Last edited by a moderator:
hivi LIKUD part 2 ya hii makitu inakuja lini?
 
Last edited by a moderator:
hapana ni madhara ya cosmetics,,cousin wangu kasoma naye uganda na picha zao ukimuona alikuwa mdogo na ryt nw cousin wangu anamalizia udaktari mwaka wa 5

Uwoya ni mdogo amesoma bunge primary kamaliza 2002 ana miaka 24 now
 
ahahaaaaa
 
Dah.,kaka Ivo Mapunda alikua mwalimu wa shule ya msingi,kisha askari magereza..hadi sasa anadunda,magolikipa wanaweza kucheza hadi 40+

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
kwa hiyo unataka kutushawishi hawajaachana sana na Zinjathropus.
 
Aisee jf siwez kuacha cku inipite bila kuingia.. Nasubir part 2
 
kwa Diamond hapo umejikwa ndugu..huna uhakika na ukisemacho..
kithibitisho sahihi cha umei wa mtu ni chet cha kuzaliwa..
nishakiona chet chake..ni 89mwezi wa kumi
OVER
 
kwa Diamond hapo umejikwa ndugu..huna uhakika na ukisemacho..
kithibitisho sahihi cha umei wa mtu ni chet cha kuzaliwa..
nishakiona chet chake..ni 89mwezi wa kumi
OVER

Wewe bila shaka hata dushelele la domo uneshaliona na ukalichezea ngololo.
 
hivi vyeti si uthibitisho kamili mkuu hata leo ww ukitaka cheti cha kuonyesha kwamba umezaliwa mwaka 1997 unakipata ni hela yako tu (sijasema kwamba diamond hajazaliwa mwaka huo)
kwa Diamond hapo umejikwa ndugu..huna uhakika na ukisemacho..
kithibitisho sahihi cha umei wa mtu ni chet cha kuzaliwa..
nishakiona chet chake..ni 89mwezi wa kumi
OVER
 
kwa Diamond hapo umejikwa ndugu..huna uhakika na ukisemacho..
kithibitisho sahihi cha umei wa mtu ni chet cha kuzaliwa..
nishakiona chet chake..ni 89mwezi wa kumi
OVER

bila shaka unamatatizo wewe tena makubwa sana ya kifikra, wewe ni ZUZU A.K.A BORATWENDE
 
kwa Diamond hapo umejikwa ndugu..huna uhakika na ukisemacho..
kithibitisho sahihi cha umei wa mtu ni chet cha kuzaliwa..
nishakiona chet chake..ni 89mwezi wa kumi
OVER

Cheti cha kuzaliwa TZ kinathibitisha nini mkuu? Jaribu kuelezea hilo manake nahisi umezaliwa ulaya nakukulia huko, umekuja TZ kuzeeka weye!
 
lulu kazaliwa 2002! ana miaka 11! hahahaaa!! bongo bana, hadi raha!
 
Abdi kasim babi anasema kazaliwa mwaka 1986 na mwaka 1999 alianza kucheza taifa starz. Sasa je alianza kucheza akiwa na 13 yearz?
 
Taribo West wa Nigeria alienda kucheza soka ugaibuni akasema ana miaka25 akafanikiwa kusailiwa lakini baadae ikagundulika kuwa miaka alikuwa na miaka 40+.
 
Haaahaaa mweee ni uchunguzi tu ambao haujathibitishwa kisayansi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…