Super Charged
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 947
- 1,710
majina yote matatu🤣🤣🤣🤣🤣 dahDAh! Kuna mmms mmoja nlikuta kanisave majina yangu yote matatu ya nida na mwisho kabisa akaongezea na mtandao "airtel".
Af hapo hapo ananipiga mzinga na kusema ananipenda.
Nlivomruka hatasahau bladihenken!
Kuanzia miaka 29-35Hahahha ule umri wa Malaya sinza, sijui Mwajuma kwa mpalange.
Mara sijui sponsor UN nk.
Ni umri gani ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahha ule umri wa Malaya sinza, sijui Mwajuma kwa mpalange.
Mara sijui sponsor UN nk.
Ni umri gani ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha itakuwa ni kati ya 20s-30s hapo, ndio maana vijana wanachelewa kujenga [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahAnna wa Food Science
Aisha marketing
Juma sociology
Pau HN
Enzi za chuo hixo btn 20-24