Umri sahihi wa kubeba mimba na kuwa na mtoto

Umri sahihi wa kubeba mimba na kuwa na mtoto

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
338
Reaction score
180
mimba.jpg

MAISHA yalivyo sasa si sawa na yalivyokuwa miongo kadhaa iliyopita. Wakati huo wanawake waliingia kwenye ndoa katika umri mdogo (mara nyingi usiozidi miaka 25) na kuchukua jukumu la kuzaa na kulea kama ndilo la kwanza. Wasichana na wanawake walipenda jukumu la kuwa mama kwenye familia na walitimiza jukumu hilo kwa utayari.

Katika miaka ya hivi karibuni, wanawake wengi wamejikita katika masomo...

Soma zaidi hapa=> Umri sahihi wa kubeba mimba na kuwa na mtoto | Fikra Pevu
 
Back
Top Bottom