MAISHA yalivyo sasa si sawa na yalivyokuwa miongo kadhaa iliyopita. Wakati huo wanawake waliingia kwenye ndoa katika umri mdogo (mara nyingi usiozidi miaka 25) na kuchukua jukumu la kuzaa na kulea kama ndilo la kwanza. Wasichana na wanawake walipenda jukumu la kuwa mama kwenye familia na walitimiza jukumu hilo kwa utayari.
Katika miaka ya hivi karibuni, wanawake wengi wamejikita katika masomo...