mullaX
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 312
- 97
Habari wana JF.
Juzi kati dadangu na mumewe walienda kwa docta na mtoto wao wakiume, umri miez 8 kutaka kumpatia sunna (kumtahiri). Docta akawaambia si vema kufanya tendo hilo katika umri huo sababu uume hautakua vizur na kuwa saiz ya kawaida yaani uume utakua mdogo au kibamia kama wasemavyo watoto wa mjini.
Wasubiri mpaka afike miaka 7 au zaidi. Najua humu madocta ni wengi sasa naomba mnifungue macho juu ya hili, yaani ushahidi wa kisayansi ndio unaohtajika.