Umri sahihi wa kumtahiri mtoto

mullaX

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
312
Reaction score
97
Habari wana JF.

Juzi kati dadangu na mumewe walienda kwa docta na mtoto wao wakiume, umri miez 8 kutaka kumpatia sunna (kumtahiri). Docta akawaambia si vema kufanya tendo hilo katika umri huo sababu uume hautakua vizur na kuwa saiz ya kawaida yaani uume utakua mdogo au kibamia kama wasemavyo watoto wa mjini.

Wasubiri mpaka afike miaka 7 au zaidi. Najua humu madocta ni wengi sasa naomba mnifungue macho juu ya hili, yaani ushahidi wa kisayansi ndio unaohtajika.
 
Ni Ushauri wa Daktari lakini Kidini itakikana umtahiiri huyo mtoto wako hata hii leo kwani kumtahiri Mtoto hata baada ya siku 8 au siku 40 tangu amezaliwa. Mkuu mullaX Kuwa nalo hilo govinda halina mpango wowote ule zaidi ya uchafu mwilini mwako Mtahiri mtoto wako apate Suna za Mitume.
 

sawa mkuu nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…