Umri sahihi wa msichana kuolewa ni upi?

Mimi mstaarabu

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2020
Posts
262
Reaction score
577
Msichana anatakiwa aingie kwenye ndoa akiwa na umri gani na pia aanze kuzaa akiwa na umri gani?

20, 21,22, 23, 24, 25,26 au 27?
 
Nadhani kati kati ya iyo miaka hapo 23-25 akianzia hapo sio mbaya. Mwanamke anatakiwa kumpenda mume wake sio kumtafuta mume wake sasa hiyo miaka anakuwa na fikra ya kupenda zaidi hivyo akimpenda mtu anakuwa kampenda kweli huku kwingine huku kunakuwa na kupenda na kutafutana mtiani huo
 
Kabinti kadogo kamenielewa kama vile Paula[emoji23].

Nimekaacha age [emoji38]

Kanataka ndoa.

Mm najisemea kimoyomoyo embu sogea sogea angalau akili ikue.

Mda wote kanataka kupigiwa simu[emoji38]

Ila uzuri nimevunja ukuta wa belini wengine mnaita B*kira[emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…