M Mpanda nyangobe JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 762 Reaction score 1,688 Sep 17, 2024 #1 Ukiingia Wikipedia ya English version unaambiwa born January 1984.. Ukiingia Wikipedia Swahili version unaambiwa may 1987.. Sasa sijui tufuate lipi.... anyway hivi huyu jamaa Kwa sasa anakipiga wapi
Ukiingia Wikipedia ya English version unaambiwa born January 1984.. Ukiingia Wikipedia Swahili version unaambiwa may 1987.. Sasa sijui tufuate lipi.... anyway hivi huyu jamaa Kwa sasa anakipiga wapi
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,697 Reaction score 15,497 Sep 17, 2024 #2 Achana na umri wewe zingatia tu kuwa ni MZEE!!
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Sep 17, 2024 #3 40+ Kinachomfanya kutozeeka ni kujitunza
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 Sep 18, 2024 #4 Mtu ana wajukuu saba,mpe heshima yake