Rais wa Tanzania kwa mwaka 2025 ili awe na ufanisi zaidi awe na umri upi kati ya:
1. 18 hadi 25
2. 26 hadi 35
3. 36 hadi 55 au
4. 56 hadi 75?
Umri wa Kiongozi yeyote ni muhimu sana katika ufanisi kwa kuwa na nguvu ya kutosha, kumbukumbu na fikra mpya katika ujenzi wa Nchi. Tujibu bila ushabiki wowote wa vyama vya siasa. Karibuni.