Waswahili tunadesturi ya kuiga kila kitu bila kujua madhara yake,utakuta mtu 24hrs anajimake up na analala nayo,bora basi upake ivo upendeze ni anatisha kama jini,kuiga vtu visivyo na msingi kwa kudhqani kuw uso unatakiwa upakwe make upp muda ote bila kuangalia mazingira,wataalam wa urembo wenyew wanashauri kutolala na makeup,ki ukweli uso unashuka kwa shuruba za vtu vigeni dats uswahilini ukiwakuta wamejipamba huwez jua mama nani mtoto nani ,uso huo huo upakwe lotion na tube kibao,macho masjkala na make up,na kubandikwa kope,midomo lipbam na lipshine bado hujasiliba mmapowder na fondshn n hatar kwa kwel basi tu,