Umri wa chuji wakwama...

Umri wa chuji wakwama...

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,720
Soka la waafrika wazimu mtupu......
NINAVYOFAHAMU PIUS KISAMBALE NA ATHUMAN IDD 'CHUJI' NI NDUGU WA TUMBO MOJA, HUKU ATHUMANI IDD AKIWA AMEZALIWA TAKRIBANI MIAKA MIWILI KABLA YA PIUS. SWALI LA KUJIULIZA IMEKUAKUAJE HIVI SASA PIUS AMEKUA KAKA WA ATHUMAN ? JE? NI WAPI ATHUMAN ALIKWAMA UMRI MPAKA PIUS AKAJA KUMPIKU ?
[TABLE="width: 591"]
[TR]
[TD="width: 215"]
pius-kasambele.jpg
[/TD]
[TD="width: 164, bgcolor: #ffefae"]NAME[/TD]
[TD="width: 198, bgcolor: #ffefae"]PIUS KISAMBALE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #b0ffb0"]NATIONALITY[/TD]
[TD="bgcolor: #b0ffb0"]TANZANIA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ffefae"]DATE OF BIRTH[/TD]
[TD="bgcolor: #ffefae"]21 DECEMBER 1987[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #b0ffb0"]HEIGHT[/TD]
[TD="bgcolor: #b0ffb0"]5’8’ INCHES[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ffefae"]WEIGHT[/TD]
[TD="bgcolor: #ffefae"]68KGs[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #b0ffb0"]POSITION[/TD]
[TD="bgcolor: #b0ffb0"]STRIKER[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ffefae"]JERSEY[/TD]
[TD="bgcolor: #ffefae"]11[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #b0ffb0"]PREVIOUS CLUB[/TD]
[TD="bgcolor: #b0ffb0"]Polisi Dodoma, Prison FC,
Simba SC
Polisi FC (Rwanda),
Goha FC (India),
Moro Utd, Mtibwa Sugar, Ruvu JKT[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 591"]
[TR]
[TD]
chuji.jpg
[/TD]
[TD="width: 164, bgcolor: #ffefae"]NAME[/TD]
[TD="width: 198, bgcolor: #ffefae"]ATHUMAN IDD[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #b0ffb0"]NATIONALITY[/TD]
[TD="bgcolor: #b0ffb0"]TANZANIA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ffefae"]DATE OF BIRTH[/TD]
[TD="bgcolor: #ffefae"] 18 FEBRUARY 1988[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #b0ffb0"]HEIGHT[/TD]
[TD="bgcolor: #b0ffb0"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ffefae"]WEIGHT[/TD]
[TD="bgcolor: #ffefae"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #b0ffb0"]POSITION[/TD]
[TD="bgcolor: #b0ffb0"]MIDFILEDER[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ffefae"]JERSEY[/TD]
[TD="bgcolor: #ffefae"]18[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #b0ffb0"]PREVIOUS CLUB[/TD]
[TD="bgcolor: #b0ffb0"]Polisi Dodoma, Simba SC[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

aiseeee kwa sura ya chuji ati ana 24yrs??
 
Hiyo ndio Tanzania bwana.... kila mwaka mchezaji anakuwa na umri uleule, si ajabu mpaka leo Chuji ana miaka 24
 
Tulikuwa na akina Steven Mapunda aliichezea timu ya Taifa under 21 karibu miaka mitano!! Hii ni aibu kwa soka letu, Chuji kazaliwa mwaka 1985 na sio 1988 na mama yake alikuwa mcheza netiboli Amina Mohamed alichezea Kurugenzi Dodoma, Muhimbili Dar n.k.
 
Hata Nwanko Kanu alizidiwa umri na mdogo wake, tatizo wachezaji wa Kiafrica tuna cheat sana kwenye swala la umri nadhani ndo inayom cost sasa Essien kuendelea kuwa majeruhi majeruhi atakuwa anapewa matibabu tofauti na umri wake, maanake ukimuangalia anaonekana ni 30+
 
bado nina wasi wasi aiseee....kwa kumuangalia chuji usoni tu hakosi 30 hapo
 
Hata Nwanko Kanu alizidiwa umri na mdogo wake, tatizo wachezaji wa Kiafrica tuna cheat sana kwenye swala la umri nadhani ndo inayom cost sasa Essien kuendelea kuwa majeruhi majeruhi atakuwa anapewa matibabu tofauti na umri wake, maanake ukimuangalia anaonekana ni 30+
ni kweli kabisa.......nilitaka kusema hilo la essien.....hata kanu ukiangalia alivyokuwa kipindi kile 1996 wanachukua olympick jamaa wanadai ana 19 years lakini he was looking like 25 hivi.....mfano mwingine ni obafemi martins
 
Hii ni Tanzania zaidi ya uijuavyo
 
Itakuwa 1978, kuna mwingine Kaseja nae umri wake unarudi nyuma
 
haya mambo kweye soka sio mambo ya ajabu..sasa mnamlazimisha awe naumri wenu kwani nyie ndio mmemzaa?
 
Tulikuwa na akina Steven Mapunda aliichezea timu ya Taifa under 21 karibu miaka mitano!! Hii ni aibu kwa soka letu, Chuji kazaliwa mwaka 1985 na sio 1988 na mama yake alikuwa mcheza netiboli Amina Mohamed alichezea Kurugenzi Dodoma, Muhimbili Dar n.k.
wewe ndio mama yake?
 
Kwa wachezaji wakotofauti kuna muda miaka yao inarudinyuma kwa hiyo sio kitu cha kushangasa.Hukumbuki serengeti boys na simba dhidi ya yule jamaa mpaka timu ikatolewa
 
Haahaa! Chuji anachelewa sana kulala labda siku tatu za Pius inakuwa ni siku moja ya chuji or something! Si unaona alivyozeeka ingawa umri bado kinda
 
ni kweli kabisa.......nilitaka kusema hilo la essien.....hata kanu ukiangalia alivyokuwa kipindi kile 1996 wanachukua olympick jamaa wanadai ana 19 years lakini he was looking like 25 hivi.....mfano mwingine ni obafemi martins

Huyu si aliumbuliwa alipotaka kuitosa Nigeria.
 
Back
Top Bottom