Duh!!!70 yrs mkuu
MkuuMAGAZETI ya Leo tarehe 5/5/2023 yameandika juu ya hafla ya kustaafu kwa majaji 3 wa mahakama kuu ya Tanzania, tunawapongeza kwa kulitumikia Taifa letu na tunawatakia maisha mazuri ya uraiani.
Jambo nililojifunza ni kwamba Majaji hao wanaonekana kuwa na umri mkubwa sana, nimejiuliza hivi Majaji huwa wanastaafu wakiwa na umri wa miaka mingapi?
Kwa kuzingatia kazi ngumu wanazozifanya nashauri umri wa kustaafu majaji upunguzwe uwe miaka 50.
Inaonekana Majaji wengi wamechoka kwa umri kuwa mkubwa lakini wapo kazini tu, idadi ya majaji wanaostaafu ni ndogo sana ukilinganiaha na idadi ya wazee waliopo makazini, jamani tubadilike, tuwapishe vijana.
Hizo ni fikira za kizamani,Mkuu
Pamoja na kuwa Jaji ni mwanasheria lakini umri unavyosonga mbele ndivyo anavyokuwa gwiji kwenye kufanyakazi zake.
Umri wao wa miaka 60+ ni sahihi kwani hadi muda huo akili inakuwa njema kabisa
Jaji wariobanawakumbuka sana kina Jaji Lewis Makame, Jaji Chipeta, Francis Nyalali n.k
sasa hivi nadhani watafutiwe jina tofauti na jina la Jaji kutunza heshma za miamba wale wa sheria na hukumu
Vijana wenyewe akili zimejaa kula kimasihara...Hizo ni fikira za kizamani,
Wapishe vijana wachape kazi, miaka 55, 60 ni umri wa kupumzika sio kupambana.
Nawashauri wazee wangu Majaji wanao jijua kuwa Wana umri zaidi ya miaka 50 wastaafu wapishe vijana nao wasukume gurudumu la Taifa.
Tubadilike tuache mazoea, wazee hawataki kustaafu vijana wanakosa ajira.
Wazee Wana presha na sukari juu unatarajia kuna jipya hapo? au unataka waifie ofisini?!, nawaomba wazee wetu kwa heshima waende wakapumzike inatosha.Vijana wenyewe akili zimejaa kula kimasihara...
Wazee waendelee tafadhali
Nimekaa paleee
Hekima wapi, tuhuma za rushwa tu.Majaji..nadhan wanakaa kuamzia High Court na court Appeal .. cjui Sheria lakn nadhan.. hzo mahakama.zinahtaj watu wenye busara na uzoefu sana...maana Kuna makesi ya hatari hko...sishangai sana wap kustaaf umri huo@na ingependezaa wangeendelea tuu