Hiyo habari peleka Issa Michuzi Blog and Gazeti la UwaziKwa wale ambao hawakubahatika kuiona hii kitu angalia kuanzia dakika ya 2 na sekunde ya 40 hivi ili ujue ni under 18 or above. Hii ilikuwa miezi kadhaa kabla ya tukio.
Mkasi - SO2E08 With Lulu - YouTube
Mod keshanisaidia kuipeleka jukwaa husika ila huko uwazi na mchuzi sipajui nitashukuru kama utanielekeza ni wapi?