wadau habari zenu,dah kiukweli nimewamiss sana ukizingatia loong tim almost six months sijawa active due to the reason nilikua maternity sasa nimerudi rasmi,mzizi mkavu,rosweeter,precious,mwali na wengine mpooo?
swali langu nauliza mtoto wa kike umri wake wa kuanza kukaa ni miezi mingapi?na kuota meno je?
asanteni sana
Kukaa unawaanzisha wakiwa miezi minne, kwa watoto wote. Meno inategemea na mtoto. Umesema maternity miezi 6 kwa hiyo ni baby yupo 6 months now? Atakuwa anakaa basi bila hata kuanguka upande. Au?
fidel upo? yeah she is six months now ila bado hajaweza kukaa mwenyewe coz nlikua sijamwanzisha kumkalisha eti huwa namonea huruma naona kama ataumia vile
Kwa kukaa hata from 4 month kuna wanao anza kujaribu but rasmi ni 6 month. wengine wanaweza kuchelewa kidogo.
Meno ni 6 month pia, then a teeth per month hadi 12 month. Miezi ya mtoto wa chini ya 12 month ipo determined by adding 6 to the number of teeth. mfano ukiona mtoto ana meno 3, basi atakua na miezi 9 (6+9). but this is general rule, kuna exception.
Out of topic: I missed you, hongera kwa ndoa naona avatar yako unaangsha kicheko cha furaha, hongera sana
Kukaa unawaanzisha wakiwa miezi minne, kwa watoto wote. Meno inategemea na mtoto. Umesema maternity miezi 6 kwa hiyo ni baby yupo 6 months now? Atakuwa anakaa basi bila hata kuanguka upande. Au?
dah fidel nakula kama mchwa hata kunyanyuka kwangu kazi maana nimekua bongee tehehh natania
:lol: hahahahaaaaaa nipo makini wewe acha tu
sijaana kumkalisha maana
nilikua nahisi bado umri wa kukaa haujafika ndo maana nimekuja jamvini
kuuliza mbona una wasiwasi sana kaka?
Kwa kukaa hata from 4 month kuna wanao anza kujaribu but rasmi ni 6 month. wengine wanaweza kuchelewa kidogo.
Meno ni 6 month pia, then a teeth per month hadi 12 month. Miezi ya mtoto wa chini ya 12 month ipo determined by adding 6 to the number of teeth. mfano ukiona mtoto ana meno 3, basi atakua na miezi 9 (6+9). but this is general rule,
Miezi 6 hujamkalisha mtoto, tena mtoto wa kike, umemchelewesha sana bibie, usije ukatuharibia mtoto bure, miezi 6 alitakiwa awe ameshakaza kukaa na akifika miezi 9 anaanza kutembea, hebu anza kumkalisha mtoto bana
sijaana kumkalisha maana nilikua nahisi bado umri wa kukaa haujafika ndo maana nimekuja jamvini kuuliza mbona una wasiwasi sana kaka?
Sorry, I meant 6+3=9. The logic is contained in the explanation. Asante kwa kukosoa.Mbona haya mahesabu siyaelewi.
6+9 si ni 15? au siku hizi imebadilika?
Nilishangaa nikafikiri labda nili overlook. anyway asante pia kwa somo jipya nilikuwa sijaipata hiyo.Sorry, I meant 6+3=9. The logic is contained in the explanation. Asante kwa kukosoa.