mtweve
Member
- Mar 28, 2009
- 96
- 8
Wadau,mtoto wangu ana miezi 6 kasoro hvi,week iliyopta tulienda kumpima kliniki,ana kilo 9.5....nesi akasema uzito huo ni mkubwa sana ulilinganisha na umri wake.
naomba mniambie inasababishwa na nin? Nin athar zake? Na nifanyaje kuondkana na tatizo hilo?
chakula ananyonya maziwa ya mama tu
naomba mniambie inasababishwa na nin? Nin athar zake? Na nifanyaje kuondkana na tatizo hilo?
chakula ananyonya maziwa ya mama tu