Umri wa mtoto vs kilo zake

mtweve

Member
Joined
Mar 28, 2009
Posts
96
Reaction score
8
Wadau,mtoto wangu ana miezi 6 kasoro hvi,week iliyopta tulienda kumpima kliniki,ana kilo 9.5....nesi akasema uzito huo ni mkubwa sana ulilinganisha na umri wake.
naomba mniambie inasababishwa na nin? Nin athar zake? Na nifanyaje kuondkana na tatizo hilo?
chakula ananyonya maziwa ya mama tu
 

Umetoka mbio hospitali kuja kutafuta majibu hapa!..
 
Mtoto wa kike wa umri wa miezi sita anatakiwa awe na uzito kati ya 6,2-9,5kilos na wa kiume uzito kati ya 6,5-10kilos.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…