hawajakosea kwani unataka kuniamia kuwa wewe hujafikisha miaka 40?Mkuu nimejaribu, nimekosea mara mbili. Lakini wamenipa umri mkubwa zaidi ya umri wangu halisi. Ina maana akili yangu ndiyo ina umri walionipa au?
Bado sana.hawajakosea kwani unataka kuniamia kuwa wewe hujafikisha miaka 40?
Basi nitajaribu tena mkuu.Ilivyo hasa ni kuwa idadi unayopata kutoka kompyuta iwe ndogo zaidi kuliko umri wako. Lakini usijali, lengo hasa la link hii ni "Memory training" yaani kuifanyia mazoezi akili yako kuweza kuona, kudhibiti na kukumbuka kwa haraka. Keep it up!