miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
mmh hayaPia kulelewa sio dhambi wanasema ukibebwa bebeka usibembee! Akinikubali na kuamua kunilea poa tu
Nazungumzia mapenziUnazungumzia nini...!?
Sawa....!Nazungumzia mapenzi
Pesa makaratasi! Mimi ndo ndakayemridhisha na kumpa furaha!Tatizo sio size yake haikutoshi tatizo pesa upooo!?
Njoo tucheze Angelita we ndo mtoto mwenzanguAnaogopa kukubemenda, endelea kuchezea kombolela na watoto wenzio.
Vip ndugu wanao wanakusumbua nini mpaka unatamani waende shule!Mpaka itakapofika j3 mwende Shule mbona tutakoma basi...
Shida binadamu tumeumbiwa! Siwezi zikwepaMmmh unashida wewe sio bure..