DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Duuuh
Sasa nywele zina ondoaje weusi wa Alves asee!!?
Hao jamaa ni weusi na hubaguliwa vile vile kama kina etoo walivo kuwa wakibaguliwa
Hapo jamaa anapotezea kwa kula ndizi aliyotupiwa
Baada ya tukio hilo Aguero na mpenziwe wakatwit picha hiyo kupinga Dan Alves kufananishwa na nyani
DuuuhMimi ,Wewe na huyo etoo wako na Neimar je tumefanana? Jibu usikimbie
Tupo pamoja kakaAsante saana PNC katika mafans nao wafatilia ni wewe mmojawao upo vizuli kabisa!
Frank rijkard alikuwa kocha wa barca,na ndie hiki kizazi cha kina messi na iniesta kilianza kuonekana akiwepo yy,kuna kina michael reizgar wamekipiga barca na wengine wengi tuLilian Thuram mbona kacheza pale
Dani Alves kurushiwa ndizi kunahusiana vipi na kusajiliwa kwake Barcelona, alirushiwa ndizi walipocheza dhidi ya Villareal ugenini, na aliyerusha ni shabiki wa Villareal. Barca hapo ameingiaje?Unafkir ni kwanini brazil wanabaguana?
unafkil ni kwanini neyma akiwa na mpira huwa anapigiwa kelele za nyani?
unakumbuka dany kesharushiwa ndizi zaid ya mara mbiri?
Kama sio wa africa ni akina nani?
kama inshu ni nywele ushawai kuziona nywere za clich wa man cty?
nywere za didie drogba je?
Ubaguzi kwa Spain kama Spain hapo nakubali ila sio kusema kwa Barcelona.Mkuu labda hufuatilii ubaguzi bado upo, Neymar kabaguliawa mwaka huu huu
Ni ngumu kuisha hvo vitu hasa huko spain
Ukifuatilia vizuri utaona sio eto'o wala Yaya tu ila ni wengi waliondoka kwa kile kilichoitwa Ukatalunya chini ya Pep Guardiona, huyo Eto'o na Yaya walikaa mda mrefu tu pale Barca kabla ya Pep.Najiuliza kile kilichowaondoa Yaya na Etoo kama kimekwisha .
Kwangu mimi nadhani sio ubaguzi ila aliwapa nafas wakatalunyia zaidi,alijali vya kwao kwanza...ndo maana aliwauza wachezaj wengi wa kigeni ili kuwapa nafas watoto wa catalonia kama bosquet, bojan na wengneo ....Ukifuatilia vizuri utaona sio eto'o wala Yaya tu ila ni wengi waliondoka kwa kile kilichoitwa Ukatalunya chini ya Pep Guardiona, huyo Eto'o na Yaya walikaa mda mrefu tu pale Barca kabla ya Pep.
Hata leo Pep angekuepo, usingewaona akina Neymar, Suarez, Rakitic, Bravo, Aleix Vidal n.k wakicheza na kuanza kikosi cha kwanza pale Barca.
Jamaa alikuwa na ubaguzi wa kijinga ambao mpaka sasa umeonesha ni namna gani uliigharimu timu.
Mpira biashara mkuu. Kwq taarifa yako vilab vya aina ya Barcelona, real Madrid na bayern Munich huwa hawauzi wachezaji wao, wakikuuza ujue haupo kwenye mpango wao. Kuuzwa kwa Yaya Toure, Deco ilikuwa ni kuwapa nafasi Andrea Iniesta na Sergi Busquet. Mnamkumbuka Erick Abidal? Jamaa alikuwa na namba ya kudumu piga ua labda awe suspended au majeruhi.Najiuliza kile kilichowaondoa Yaya na Etoo kama kimekwisha .
Mbona weusi wengi wamecheza barca....Mhhh Barcelona na maniga wapi na wapi...Etoo na YayaToure walitupiwa ndizi uwanjani...anaenda kuua kipaji chake
Sio mwafrika huyo ...ni mfaransaNi jambo zuri kwake kupata usajili katika hii timu. Ila Waafrika wana bahati mbaya katika maisha yao na hii timu angewauliza watangulizi kama Eto'o na Yaya Toure iliaweze kuishi vizuri na hiyo klabu.
Samuel Umtiti ni Muafrika mwenye asili ya Cameroon ila alipewa uraia wa Ufaransa. Kwa taarifa zaidi unaweza kuperuzi kwenye huu ukurasa:Sio mwafrika huyo ...ni mfaransa
Unataka kusema Evra ni mwafrika!!!??? Pogba mwafrika!!?? Boateng mwafrika!!?? Sagna mwafrika!!??Samuel Umtiti ni Muafrika mwenye asili ya Cameroon ila alipewa uraia wa Ufaransa. Kwa taarifa zaidi unaweza kuperuzi kwenye huu ukurasa:
Samuel Umtiti - Wikipedia, the free encyclopedia
Samuel Umtiti ni Muafrika mwenye asili ya Cameroon ila alipewa uraia wa Ufaransa. Kwa taarifa zaidi unaweza kuperuzi kwenye huu ukurasa:
Samuel Umtiti - Wikipedia, the free encyclopedia
Mhhh Barcelona na maniga wapi na wapi...Etoo na YayaToure walitupiwa ndizi uwanjani...anaenda kuua kipaji chake