Umuhimu gani wa kuvaa designer name kama kuvaa ni Kushiro maingo?

Kuvaa desgner ni hadhi yako binafsi sio mpaka mtu ajue. Una ji value mwenyewe.
 
Uko kama Mimi mkuu
 
Mi sina tatizo hata watu wakiamua kutembea uchi kama kwenye nudist colony.

Ili mradi wote tukubaliane mfadhaiko hakuna.

Nini kuvaa shati la bei mbaya.
 
Mi sina tatizo hata watu wakiamua kutembea uchi kama kwenye nudist colony.

Ili mradi wote tukubaliane mfadhaiko hakuna.

Nini kuvaa shati la bei mbaya.

Nakumbuka nikiwa sophomore niliamua kuishi off-campus.

Nikapata chumba kwenye nyumba ya maza mmoja hivi wa kizungu.

Kabla ya ku sign lease agreement akanifahamisha kuwa ana boyfriend wake ambaye ni nudist na mara moja moja huwa anakuja hapo kumtembelea.

Siku moja Ijumaa jioni natoka class ile naingia ndani tu nikakutana naye akiwa uchi kabisa.

Hahahaaaa....sikushtuka sana maana nilikuwa nshapewa heads up but still.....it was awkward.

I said to myself to each his own and kept it moving.
 
Hahaha, kama una roho nyepesi hapo lazima unahama.

Halafu kuna watu wanafikiri Uswahilini tu ndiyo kuna vituko.

Mimi enzi kama hizo nilikuwa na mama mmoja M-Jamaica, washkaji tu.

Siku zikimpanda unagonga kwa heshima umtayarishe ajipange kama kakaa vibaya, anakwambia"karibuu".

Halafu unamkuta kavaa ki night dres see through kifupi halafu kabong'oa anatafuta viatu sijui chini ya uvungu.

Nikaona huu bonge la mtego, lakini nikimpitia huyu naweza kuharibu kila kitu nisiweze kuwa na uhuru tena.

Nikajibana kisabuni kama mtawa mwenye nidhamu, mpaka leo bonge la mshkaji.
 
Kila mtu anatekeleza anachopenda na
Kinachomfurahisha
 
Ukiishi ughaibun ndio utajua umuhimu wa kuvaa Designer.hata hao wakina Steve Jobs, Mark Zuckerberg,Bill Gates wanaonekana simple hila kiukweli nguo wanazovaa kama ni shati au Pullover sio za bei za chini,kuna Majina mengi sana ya nguo ghali kuliko hata hayo Gucci,na nembo zao si za kuonekana kwa mbali hila ukibahatika kuiona nembo ndio utajua kwamba hao matajiri wanavaa nguo ghali sana. Bill Gates awezi kuvaa shati la H&M au ZARA hata siku moja.
 
The goal is to be rich not to look rich.
#No. Fuckin brand names#
 
Mimi naishi ughaibunina sijaona umuhimu wa kuvaa mashati yenye milebo mikubwa, yawe ya bei kubwa au rahisi.

Mimi navipamaksi vitu vyangu mwenyewe, sitegemei designer aniambie hiki kizuri na hiki kibaya. Hiyo ni alamaya kutojiamini.

Na sina tatizo na anayevaa designer kwa lebo kubwa au ndogo, ila mimi siwezi kuvaa nguo yenye lebo kubwa kwa sababu naona kamanakuwa tangazo la biashara linalotembea.

Hapa nilipo nimetoka kununa mashati ya Nautica matatu jana, nimetumia kama $ 60 kwa mashati hayo. Mazuri tu. Matatu. Hapo hapo nimetoka kuangaliashati moja la Brooks Brothers la $ 80.

Nafanya hivyo karibu kila weekend nikiwa na wasaa.

Yana kilebo kidogo cha Nautica kwenye mfuko, lakini hata hicho natamani kama kisingekuwepo.

Allin all,siwezikujua sababu ya kwanini nani anavaa nini,kuna watu wanalipwa kuvaa nguoili wawe matangazo ya biashara,kwa hiyo siwezi kujiwekakinara kuwasema.

Nitasema mtazamo wangu kivyanguvyangu tu.

Ambaonikwamba, don't judge a book by it's cover, don't judge quality by brands, and don't judge a person by brands.
 
Aisee Una undugu na yule Nyani wa Marekani,kuna siku humu JF alisema "exactly words" khs nguo zenye label kubwa.Au ID Ime....
 
Designer clothes zinatulia mwilini asikwambie mtu...labda huu umaskini wetu unaturudisha nyuma.
 
Aisee Una undugu na yule Nyani wa Marekani,kuna siku humu JF alisema "exactly words" khs nguo zenye label kubwa.Au ID Ime....
Marekani kuna movement nzima kabisa.

Inaendana na social consciousness, environmentalism, reduction of the carbon footprint etc.

Huko bongo - hata Marekani pia- kuvaa Nike kali inawezekana kukawa ujiko.

Lakini.

Mtu anaweza kukuambia hataki kuvaa Nike kwa sababu Nike ina exploit wafanyakazi wa "dunia ya tatu"kwa kuwalipa mishahara mbuzi wakati Marekani tunanunua viatu $ 140

Ona https://www.corporatecrimereporter.com/news/200/james-keady-and-the-coming-boycott-of-nike/

 

Juzi nikaingia kwenye store moja wanauza used shoes...nikaulizia bei ya kiatu Jordan cha mtoto wa miaka kama saba hivi. Bei £25, nikajisemea kimoyo moyo ikiwa ikiwa hichi cha mtumba bei hii...je kikiwa kipya!
 
Juzi nikaingia kwenye store moja wanauza used shoes...nikaulizia bei ya kiatu Jordan cha mtoto wa miaka kama saba hivi. Bei £25, nikajisemea kimoyo moyo ikiwa ikiwa hichi cha mtumba bei hii...je kikiwa kipya!
Mambo ya kawaida hayo.

Kiatu used siwezi nunua, nisijepata fungus bure.

Dogo wa home nimemnunulia Jordans kama 7 hivi katika miezi mitatu iliyopita.

Mpaka kuna wenzake shulenikwao wameanza kulalamika apunguze.

Ya bei rahisi kabisa hapo ni kama $60, nyingine karibu $100.

Hapo kashamaliza mshawasha wa games zao za Playstation na XBox (anazo zote) ana kama 60kwa hesabu ya haraka haraka, na kila moja nikati ya $30 mpaka $60.

Utambaniaje wakati yeye ndiye furaha yake na wengine tushakataa kubania bania mambo kama tulivyobaniwa kibongobongo?
 
Its call brain wash... The designer clothes with big, famous names... Makes you think you are all...


Cc: mahondaw
 
Aisee Una undugu na yule Nyani wa Marekani,kuna siku humu JF alisema "exactly words" khs nguo zenye label kubwa.Au ID Ime....
Hahaaaaa

Siko peke yangu ambao hatupendi kuvaa nguo zenye maandishi makubwa.

Kwa mfano, kuna yale mashati ya Burberry yenye zile patterns kwenye shati zima.

Mimi huwezi kunikuta nimevaa nguo ya hivyo.

Lakini pia nina mashati kadhaa ya Burberry ambayo hayana kabisa hizo patterns na yana kile kinembo chao kidogo tu kifuani.

That's just my style. Sipo peke yangu kwenye hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…