Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
alroo vizinga viko pale pale hata kam uko single. kuna sehemu nilitaka kurudisha majeshi, ila nikaona ngoja siku kuu ipite kwanzakwaio unamtafutia ugomvi ili muachane??
ahaha sio vizurialroo vizinga viko pale pale hata kam uko single. kuna sehemu nilitaka kurudisha majeshi, ila nikaona ngoja siku kuu ipite kwanza
We acha hicho kikosi cha vizinga nakijua vizuri, acha siku kuu ipite kwanzaahaha sio vizuri
asa hela za ckukuu watapata wapiWe acha hicho kikosi cha vizinga nakijua vizuri, acha siku kuu ipite kwanza
Umeomba hela tayari?!kwaio unamtafutia ugomvi ili muachane??
Mkuu we ni Me au? Id yako huwa inanivutia sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119]
Tupo pamoja mkuu
Eeeehhh..!!!nimeanza kutafutwa siku za sikukuuu kuna vizinga hapa subiria kwanza sikukuu ziishe[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Mkuu we ni Me au? Id yako huwa inanivutia sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Na ambavyo wakurya sio wagumu kwenye suala la utoaji. Sikukuu zikiisha utanijibu basi. Unaweza ukanijibu leo ukanipa kishawishi cha kukupiga kizinga bureEeeehhh..!!!nimeanza kutafutwa siku za sikukuuu kuna vizinga hapa subiria kwanza sikukuu ziishe[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Na ambavyo wakurya sio wagumu kwenye suala la utoaji. Sikukuu zikiisha utanijibu basi. Unaweza ukanijibu leo ukanipa kishawishi cha kukupiga kizinga bure
We Ucjali afu nimeipenda avatar yako ila baada ya sikukuu sio saivi [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Na ambavyo wakurya sio wagumu kwenye suala la utoaji. Sikukuu zikiisha utanijibu basi. Unaweza ukanijibu leo ukanipa kishawishi cha kukupiga kizinga bure
nataka nikuombe wwUmeomba hela tayari?!
Haya niombenataka nikuombe ww