Umuhimu wa bakteria aerobic na anaerobic

plumber hydrogen

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2022
Posts
881
Reaction score
1,537
Ndugu zangu wa jf leo tujifunze umuhimu wa bakteria aerobic na anaerobic katika mfumo wa maji taka (drainage system)

KUNA AINA 2 ZA BAKTERIA NDANI YA SEPTIC TANK

1.Aerobic hawa ukaa juu ya ya septic tank na uitaji oxygen hili waweze kuishi kazi kubwa ya hawa bakteria ni kuzia harufu utengeneza utando juu ya kinyesi na kwa uchache umegenya kinyesi ukiona septic tank linatoa harufu jua hawa bakteria hakuna au wapo kwa uchache sana

2.Anaerobi hawa bakteria ukaa chini kabisa ya septic tank na hili waishi oxygen isiwepo kabisa kazi kubwa ya hawa bacteria ni kumegenya kinyesi kuwa ujiuji na kupelekea maji kwenda juu na kuingia kwenye tank la mwisho (soak away pit)lile la duara..

KAZI YA HAWA BAKTERIA

Usaidia mfumo wa maji taka kufanya kazi yake kwa ufasaha kuzuia harufu na kuzuia septic tank kujaa..

SABABU ZINAZO PELEKEA KUTOKUWEPO KWA HAWA BAKTERIA

*Kutumia kemikali kali hizi upelekea kuuwa hawa bakteria mfano jiki tusifulie chooni..
*Kujenga vibaya septic tank ukikosea kujenga septic tank ni ngumu hawa bakteria kuishi hakikisha fundi anafuata kanuni za kujenga septic tank..

KUTENGANISHA MIFUMO
Kuna aina mbili za mifumo ya maji taka
*Maji taka nje ya mwili (waste appliance) hapa tunapata bafu na jiko na sehemu za kufulia.Maji yanayo toka hapa ni hatari kuingia ndani ya septic tank kwani yanakuwa na kemikali za sabuni jiki n.k uweza kuuwa bakteria na kupunguza mmengenyo wa kinyesi

*Taka ndani ya mwili (soil appliance) hapa tuna pata choo na urinal zile za kukojolea asa kwenye mabaa..Unapo safisha choo hakikisha una safisha kwa kemikali zilizo sahihi..
NB septic tank ujaa kutokana na sababu nyingi kujenga sehemu yenye maji, kukosea kujenga septic tank n.k

By mtaalam na fundi bomba Plumber hydrogen
a-Diagram-of-typical-existing-chamber-soakaway-b-cross-section-of-typical-existing.jpg
 
By mtaalam na fundi bomba Plumber hydrogenView attachment 2147695
Bro haya maelezo ni mafupi mno,septicity ni complex process vibaya mno
Kuna Hydrolysis,
acidogenesis,
acetogenesis na mwisho ni
methanogenesis
Sio rahis kama ulivyoeleza kaka
 
fundi ujenzi ,hii microbiology umejifunzia wapi....
 
Back
Top Bottom