Mkuu japo Mimi si Dr lakini hata Tz suala
hili lipo kwenye Jeshi letu nadhani kubwa
na la msingi ni pale mtu anapopata majeraha
makubwa yanayoweza kuhatarisha maisha
Ma Dr hatahitaji kugundua ana kundi gani la
damu zaidi ya kusoma Kitambulisho chake
tu na kuweza kunusuru maisha kulingana
na uvujaji mkubwa wa damu utakaompata.