FPN
Member
- May 10, 2024
- 52
- 92
Kwanini ni muhimu mitaala yetu ya elimu inatakiwa kujikita zaidi kuhusu applications na si kukariri mambo chukua mfano huu👉
Tafuta aluminium foil/tin foil, kwa lugha nyepesi foil yoyote Ile mfano ya kufungia chips au chakula chochote (nzuri ni Ile iliyokua coated pande zote mbili), ukishaipata ifunge na zunguusha kwenye simu yako vizuri pasipo kuacha nafasi pande zote mwambie mtu akupigie. Simu haitoita milele (jaribu kwa muda wako halafu unipe majibu).
Hakuna uchawi, kwasababu physics inahusika hapa. Hii ni moja ya application ya faraday cage. Faraday cage ni nini?
Faraday cages are conductive enclosures that block electromagnetic fields by causing charges to remain on the outside of the conductor, then wrapping your phone in aluminium foil can block signals because aluminium foil act as faraday cage.
Lakini Kuna muda ukisoma darasani haya mambo kwa nadharia bila vitendo unaweza kuwaza faraday cage ni lidude fulani likubwa hivi. I wish siku moja nipate upenyo nihusike kutunga mtaala wowote wa elimu watoto watamaliza shule wakiwa na vibiyongo😂
NB: Ukiona umeshikiliwa halafu Kuna mchizi boti haeleweki anatoa foil anafunga simu zako Kama chipsi ujue uko hatarini(muulize BJ anaujua vizuri mkasa huu)
Hii njia nilikua naitumia kufichia simu wakati Niko kidato(shule ya bweni) huku ikiwa on) achana na watoto wa siku hizi wanaoficha simu kwenye sukari kwa kuzizima .
Matumizi mengine ya faraday cages ni hospitalini katika machine kama MRI, CT scans ili kuzuia muingiliano wa mawasiliano na kuharibu majibu ya vipimo, pia zinatumika katika baadhi ya majengo nyeti yaani ukiingia humo simu haziingii wala hazitoki, na matumizi mengine mengiiiiiii.