Umuhimu wa Cheti cha Taaluma Katika Kufungua Kampuni za Teknolojia

Umuhimu wa Cheti cha Taaluma Katika Kufungua Kampuni za Teknolojia

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,367
Reaction score
2,451
Swali la Majadiliano:
Je, ni muhimu kuwa na cheti cha taaluma uliyosomea ili kufungua kampuni ya teknolojia kama vile Computer(Software Company)?
 
Hakuna kitu km hicho sio kila mwenye kampuni amesomea kile kinachofanyika kwenye kampuni
 
Hakuna kitu km hicho sio kila mwenye kampuni amesomea kile kinachofanyika kwenye kampuni
Wadau fulani walikuwa wanaimbia ili kufungua kampuni lazima niwe na tàaluma fulani au nitafute mtu related to hiyo tàaluma nitumie cheti chao
 
Back
Top Bottom