Umuhimu wa huduma ya Paypal Tamzania

Umuhimu wa huduma ya Paypal Tamzania

prototypeman

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
288
Reaction score
108
Habari za majukumu wana Jf.

Nimeona nitumie muda wangu kuandika hii nyuzi kusisitizia juu ya umuhimu wa Paypal kwa maisha yetu watanzania.

Kwa sasa Tanzania tunaweza kutuma pesa tuu hatuwezi kupokea pesa kwenye Paypal account zetu. Hii ni changamoto kubwa hasa kwa vijana wasiokuwa na ajira ambao wanajitaidi kutafuta hata kazi za mtandaoni kupitia upwork.com na freelamcer.com.Wengi wanapata kazi mbalimbali za kufanya kama typing, data entry nk, changamoto inakuja watoa kazi karibu 85% wanalipa kwa njia ya Paypal hivyo mtanzania anakosa fursa kutokana na kutokuwa na huduma ya kupokea pesa kwa njia ya Paypal.

Naamini kwa asilimia kubwa umu kuna watu wa Benki Kuu na Wizara Ya Fedha ambao wanaweza kulichukua ili swala na kulifikisha mahali usika mbali na hapo wapo wataalamu wa mambo ya fedha wanaoweza kulitumia ili tatizo kama fursa ya kuanzisha kampuni itakayojikita katika kumsaidia mtanzania kupolea pesa zake kutoka paypal hadi M-pesa, Tigo pesa nk.

NB. Teknolojia inabadilika kwa kasi nasi kama Taifa tusikubali kukaa nyuma tujaribu kuchukua mfano hata kwa jirani zetu Kenya nasi tuimarishe katika sekta ya huduma za fedha na mambo mengine tusikubali kuwa nyuma nyuma kwa kila kitu.

Ahsanteni
 
Iv hii paypal inawezekana mtu akawa na account kama hiz NMB au CRDB?
Kama ndo hivyo ni taratibu gani za kufuata ili kuwa na account hyo na vitu gani hasa vinahitajika?
 
paypal kwa ninavyofaham ni mfumo unaotumika kutuma na kutoa fedha kwa njia ya mtandao , kwa kutumia e-mail account
 
Iv hii paypal inawezekana mtu akawa na account kama hiz NMB au CRDB?
Kama ndo hivyo ni taratibu gani za kufuata ili kuwa na account hyo na vitu gani hasa vinahitajika?
Haiwezikani kwa sasa hapa Tanzania, njia rahisi kwetu nikutumia Safaricom ya Kenya ku withdraw.
 
Je unaweza kutumia safaricom ukiwa Tz na ukapokea pesa kutoka nchi zingine?
 
Back
Top Bottom