Umuhimu wa Iron Kwa mama Mjamzito

Umuhimu wa Iron Kwa mama Mjamzito

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
37052_661223160555537_1889097869_n.jpg





Iron inatumika kutengeneza hemoglobin, protein inaytomika katikca red blood cells kubeba oxygen

kwenda kwenye viungo mbali mbali vya mwili. Kama mama mjamzito unahitaji damu ya kutosha

kwa mama na mtoto. Iron ni muhimu kuhakikisha wewe na mtoto mnapata damu ya kutosha kwa wakati huu.


Usipopata Iron ya kutosha mwili wako utamaliza Iron iliyoko mwilini hali itakayosabibisha kupata anaemia.

Kama ukipata anaemia katika trimester mbili za mwanzo wa ujauzito kuna uwezekano wa mtoto

kuzaliwa mapema kabla ya muda wake yaani preterm na kuwa na uzito mdogo kupita kiasi.

Mama mjamzito anahitaji 27mg za Iron kwa siku mara mbili ya mwanamke asiye mjamzito na

utaendelea kuhitaji Iron ya kutosha iwapo unanyonyesha.

Dalili za upungufu wa Iron kwa mama mjamzito ni pamoja na uchovu, kutoweza kupuma vizuri, ngozi isiyongaa, na kucha zilizokauka.

Vyakula vyenye asilimia kubwa ya Iron:
Nyama, samaki, kuku, maharage, na mboga.
 
Back
Top Bottom