M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Ni kweli mkuu, nilikuwa Cairo na niliweza kupata mahitaji yangu dukani kwa kuongea Kiswahili na wenyeji kuongea Kiarabu, maneno mengi yanaingiliana. Lakini si vibaya kuweka Kiarabu kama somo mashuleni kwa watakaopenda kama vile ilivyo Kifaransa.Mbona 50% ya maneno ya Kiswahili ni ya Kiarabu likiweno neno "Swahili"?
kiswahili hakiwezi kuwa medium of instruction Tanzania, watu tutakua hata hatuwezi kugusa computer manake computer yenyewe kuijua mpaka uwe na kaung'eng'e ka mbaliii. halafu waTz tutashindwa kupata ajira nje.Muhimu kitumike kiswahili kufundishia elimu ya juu kwanza kiarabu ni kama lugha nyengine za kigeni. Wakihitajika wazungumzaji wa kiarabu Zanzibar wamejaa kule wanafundishwa mashuleni. Kujua kuongea lugha tofauti ni kitu kizuri.
Hal tatakallamu allughah al-arabiah?
Wamewekeza lugha unayoitumia sasa, Kiswahili.
Hata wewe ni mwarabu kwa asilimia fulani, zile zile ambazo utasema ni asilimia ya maneno yaliyomo kwenye Kiswahili.