well....!
Mwanafunzi ni vyema akajua kutumia kompyuta(information Technology) na ikiwezekana awe na kompyuta yake ambayo ni vyema ikawa na internet access (LAPTOP/DEKTOP).....na katika vitu vya msingi (JAPO NI GHARAMA KUWA NAVYO) ni pamoja na printer,photocopy machine na scanner.....!
Hii kwa ujumla itamsaidia katika kuandika,kusoma,kurudia(revision),mazoezi,reference,kuhifadhi kumbukumbu mbali mbali za maendeleo yake mwenyewe kimasomo na kadhalika..ambavyo faida mojawapo ni kuwa havipotei kiurahisi na uhifadhika kwa muda mrefu