Umuhimu wa kozi ya Accounting and Finance

Joined
Sep 23, 2023
Posts
14
Reaction score
17
Ningependa kujua kiundani juu ya kozi hii ya BAF ni kivipi mtu aliesoma anaweza kunufaika na sehemu ambazo mtu anaweza kuajiriwa.

Nakaribisha wataalamu kwaajili ya maelekezo.
 
Ningependa kujua ni sehemu na kaz zipi unaweza pata
Banks...TRA...Tanesco...yaan hii popote kambi na hata ukiamua kujiajiri itakusaidia...mbaya usiende soma vyuo vya kishamba...caz exposure kwenye hii course ni muhimu...
 
We nenda kasome mtu akikuuliza we mwambie "uzuri wa hii kozi unaajiriwa popote"
 
Banks...TRA...Tanesco...yaan hii popote kambi na hata ukiamua kujiajiri itakusaidia...mbaya usiende soma vyuo vya kishamba...caz exposure kwenye hii course ni muhimu...
Naenda Mzumbe kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…