Umuhimu wa kujiwekea kiwango cha chini cha umasikini binafsi usiovumilika

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Hatupaswi kuishi jumlajumla.
Ni vizuri ukajitathmini na ujiwekee kiwango chako cha pesa na mali ambacho chini ya hapo utafanya lolote usishuke.

Madhara ya kuishi bila kujiwekea kiwango chako cha chini cha umasikini au kuishiwa utajikuta umeingia kwenye levo ya umasikini ambao haitawezekana kuoanda tena na hii ikaathili hadi watoto wa watoto wako.

Mfano unaweza kusema Mimi niajihesabu nimekuwa umasikini wa kitupwa siku kipato Changu kitakapogonga 1Milion. Hapo utaishi kama umasikini wa kutupwa na kuanza kupambana kuhakikisha unajikwamua kwenye umasikini huo.

Kuna kipindi mtu anapata 300k kwa mwezi alafu kwa sababu jamii inayokuzunguka kiwango Chao cha umasikini usivumilika ni 0tsh watakuona wewe ni ttajiri na wewe utaingia katika mtego wa kujiona ttajiri kumbe umasikini wako wa kutupwa ni 1000000tsh.

Katika mipango yako, jitahidi ujiwekee kiwango cha chini kabisa cha umasikini usiovumilika ambacho utapambana kufa na kuona usipubgukiwe zaidi ya hapo. Tusiishi jumlajumla kwa viwango vya jamii vya umasikini jiwekwee cha kwako na Mungu ataheshimu maamuzi yako.


Ni hilo tu

Mtumishi
Matunduizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…