SoC04 Umuhimu wa kuongeza vyuo vya ufundi kwa kila wilaya italeta tija katika kukimbizana na teknolojia ya dunia

SoC04 Umuhimu wa kuongeza vyuo vya ufundi kwa kila wilaya italeta tija katika kukimbizana na teknolojia ya dunia

Tanzania Tuitakayo competition threads

Joyce laurent shija

New Member
Joined
May 25, 2024
Posts
4
Reaction score
2
Ili Tanzania kuendana na kasi ta teknolojia duniani ni lazima tuwe na vyuo vingi vya ujuzi angalau kila wilaya, ilikusudi wale wanaoonekana wameshindwa mitihani basi baraza liwachague kwenye hivyo vyuo vya ujuzi kuliko kuwaacha wakae mitaani tu hali zikisha kuwa ngumu za maisha ndio wanageuka kuwa majambazi, walawiti, mashoga, nk kwasababu ya ugumu wa maisha na kukosa fedha kwaajili ya kuendelea na masomo kwasababu siyo wote wanaofeli mitihani hawana akili, hapana wengi wao wana vipaji na ujuzi mkubwa sema nchi yetu imeshindwa kutoa nafasi ya vipaji mbalimbali kutokea madarasa ya chini kumgundua mtoto ana kipaji gani astiki mpaka chuo kikuu.

Mapendekezo yangu fedha zinazotolewa Halmashauri ili ziwainue vijana kiuchumi ni bora zijenge vyuo vya ufundi ili kupata wataalamu wengi wa teknolojia kuliko kuwapa vijana ambao hawana uwezo wakuendesha biashara eidha kuwepo na vigezo na masharti magumu kwasababu wengi wao wanaishia njiani bila mafanikio na fedha zinaishia kupotea bora wawekeze katika utoaji elimu.
 
Upvote 1
Back
Top Bottom