Habari zenu wanaJF.
Natumaini hamjambo kwa neema alizotujalia mpenzi wetu mwenyezi mungu tumshukuru.
Ni hivi mimi naishi na bi mkubwa hapa yeye anapenda kupika vyakula mfano, nyama au mboga za majani haziivi sana yaani hadi zilainike.
Nikamwuliza akasema eti madini yanapotea je ni kweli? maana mimi nimesoma biology ila najua chakula chochote kikiiva na kulainika vizuri ndo inapendeza ili digestion iwe fasta. otherwise utaenda tu kujisaidia chooni.
Hebu nielewesheni ma Dr wangu ni kweli au mbembwe tu za bimkubwa.
Natanguliza shukrani.