Umuhimu wa kusoma Chuo Kikuu uko wapi sasa?

Kwanini watu wenye Certificate na Diploma wanapata ajira sana kuliko wenye Degree

Daaah!! Kwahiyo tunahukumiwa na elimu yetu kisa kusoma kwa bidii jamani
Diploma na certificates mbali na uchapakazi wao wanajua kumpeti peti Boss akajisikia vizuri kuliko sisi degrees ambao hatuna pigo hizo Wala uchawa !!

Hata hapa site naiona hiyo yaani wanamchomea Boss Hadi njiwa manga wanampa ale!!

Sisi tunacheeekaa tu !
 
Ila sometimes pia ni tabia ya mtu kwanini nasema hivyo kuna taasisi ina wahandisi ila wapo wengine wanafanya hivyo hivyo kwa ma manager.
 
Diploma na certificates mbali na uchapakazi wao wanajua kumpeti peti Boss akajisikia vizuri kuliko sisi degrees ambao hatuna pigo hizo Wala uchawa !!

Hata hapa site naiona hiyo yaani wanamchomea Boss Hadi njiwa manga wanampa ale!!

Sisi tunacheeekaa tu !
Utak jipendekeza kwa boss.
 
Mi nahisi tuliuacha huko huko chuo ...tuendelee kusubiri
 
Back
Top Bottom