Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Ni mahitaj ya soko yebadilika. Wanahitajila watendaji zaidi (field works guys) kuliko managers, jiongezeKwanini watu wenye Certificate na Diploma wanapata ajira sana kuliko wenye Degree
Daaah!! Kwahiyo tunahukumiwa na elimu yetu kisa kusoma kwa bidii jamani
Nani alikudanganya kuwa na degree ndio kusoma kwa bidii?Kwanini watu wenye Certificate na Diploma wanapata ajira sana kuliko wenye Degree
Daaah!! Kwahiyo tunahukumiwa na elimu yetu kisa kusoma kwa bidii jamani
Certificate na diploma Zipi zenye ajira sana?Kwanini watu wenye Certificate na Diploma wanapata ajira sana kuliko wenye Degree
Daaah!! Kwahiyo tunahukumiwa na elimu yetu kisa kusoma kwa bidii jamani
Embu atuambie.Certificate na diploma Zipi zenye ajira sana?
Diploma na certificates mbali na uchapakazi wao wanajua kumpeti peti Boss akajisikia vizuri kuliko sisi degrees ambao hatuna pigo hizo Wala uchawa !!Kwanini watu wenye Certificate na Diploma wanapata ajira sana kuliko wenye Degree
Daaah!! Kwahiyo tunahukumiwa na elimu yetu kisa kusoma kwa bidii jamani
Nyie wenye degree mmesoma vizuri, mnaweza jitegemea.Kwanini watu wenye Certificate na Diploma wanapata ajira sana kuliko wenye Degree
Daaah!! Kwahiyo tunahukumiwa na elimu yetu kisa kusoma kwa bidii jamani
Ila sometimes pia ni tabia ya mtu kwanini nasema hivyo kuna taasisi ina wahandisi ila wapo wengine wanafanya hivyo hivyo kwa ma manager.Diploma na certificates mbali na uchapakazi wao wanajua kumpeti peti Boss akajisikia vizuri kuliko sisi degrees ambao hatuna pigo hizo Wala uchawa !!
Hata hapa site naiona hiyo yaani wanamchomea Boss Hadi njiwa manga wanampa ale!!
Sisi tunacheeekaa tu !
Acha wivu mkuuNyie wenye degree mmesoma vizuri, mnaweza jitegemea.
Utak jipendekeza kwa boss.Diploma na certificates mbali na uchapakazi wao wanajua kumpeti peti Boss akajisikia vizuri kuliko sisi degrees ambao hatuna pigo hizo Wala uchawa !!
Hata hapa site naiona hiyo yaani wanamchomea Boss Hadi njiwa manga wanampa ale!!
Sisi tunacheeekaa tu !
Acha nogwa.Kwanini watu wenye Certificate na Diploma wanapata ajira sana kuliko wenye Degree
Daaah!! Kwahiyo tunahukumiwa na elimu yetu kisa kusoma kwa bidii jamani
Hata wenye degree wanapata ajira kila sikuKwanini watu wenye Certificate na Diploma wanapata ajira sana kuliko wenye Degree
Daaah!! Kwahiyo tunahukumiwa na elimu yetu kisa kusoma kwa bidii jamani