Jr Simeo Member Joined Feb 22, 2024 Posts 5 Reaction score 5 Feb 26, 2024 #1 Usimahau aliyejitoa kidogo alichokua nacho ili akukwamue katika shida zako. Alisimama kama ngazi ukapita , basi nawe simama kama ngazi apite au kipite kizazi chake hiyo ndiyo hekima, busara na mapenzi ya kweli.
Usimahau aliyejitoa kidogo alichokua nacho ili akukwamue katika shida zako. Alisimama kama ngazi ukapita , basi nawe simama kama ngazi apite au kipite kizazi chake hiyo ndiyo hekima, busara na mapenzi ya kweli.
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,189 Reaction score 10,375 Feb 26, 2024 #2 Sahihi!