Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Wadau mimi huwa nina tatizo moja na mafundi. Fundi wangu wa muda mrefu alipata dharura akasafiri. Nikaanza mtumia mwingine. Gari ilibadilika ulaji wa mafuta ikawa inatumia lita 1 kwa kms 6. Wife mchumba wangu akawa analalamika kuwa now inatumia mafuta zaidi na pia inatetemeka.
Kumpelekea fundi akasema itakuwa ni plugs.nikamwambia bdilisha.akabadilisha gari yenyewe ni Toyota Cami 4wheel Drive Auto. Kumbe akaweka za kimagumashi...mafuta ikawa inafika 1 litre per 8 kms. But bado ina vibrate na ilencer haitulii...inashuka kila wakati. Ikipandishwa after two to three days inashuka sana.
Fundi anasema ninunue plugs original.this time nataka niende mwenyewe. Engine oil na oil filter nmebadilisha nimeweka synthetic nataka gari iwe smooth na yenye utulivu. Je wapi ntapata Original plugs za Toyota Cami? Na bei yake ikoje ili niende najua kabisa jamaa wasinigonge.