Umuhimu wa kuwa na 'government brand' kwenye bidhaa za kilimo

Umuhimu wa kuwa na 'government brand' kwenye bidhaa za kilimo

Anita Makirita

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2021
Posts
1,341
Reaction score
2,121
Habarini JF!

Sijui kama hili wazo lishawahi kufanyika kwingine duniani.

Ningependa Tanzania sababu tuna eneo kubwa sana lenye rutuba (arable land),

Kufanyike mapinduzi/movement ya kilimo,

Wananchi tulime,

Serikali itafute masoko.

I just think serikali ikiwa na brand yake ikajinadi huko nje kuwa ni brand ya serikali,tutauza sana...

simply because kuna evidence watu hupenda kununua bidhaa from trusted sources!

Pia people are more likely to buy brand ambayo iko trusted, ambayo iko dependable na ikawa traced/traceability

Serikali ikiwa na brand yake, itauza sababu ya hivyo vitu vitatu, mtu wa nje hawezi kununua kitu from random person/mkulima yeyote lakini ikiwa ni serikali ndio inasimamia upatikanaji wa hio bidhaa, this will influence buyers more and they will buy it,

Kisha, serikali ikiwa na brand yake itahakikisha haichafuliwi hivyo itauza vitu quality, na quality products ndicho kitu kinachohitajika kwenye ulimwengu wa biashara..

Hatuwezi kuifanya kila bidhaa ya kilimo iwe brand ya serikali, ila yale mazao yanayohitajika zaidi duniani ambayo tunaexport lazima ziwe brand za serikali,mfano korosho,mbaazi na maparachichi.

Ni startergy tu.

Karibuni kwa michango
 
Back
Top Bottom