Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Hakuna mjinga wa kuendelea tena kushiriki kwenye uchaguzi kiinimacho. Shirikini na walio tayari kushiriki huo uhuni.lissu kishawaharibia wenzie sasa hawataweza kushiriki uchaguzi mwaka huu maana hawajasaini maadili
Ni kweli ila huyo hafai hapa TanzaniaVyama vyote vya siasa havitaki kuwepo mgombea huru. Hii ni kwa sababu itaondoa uwezo wa chama cha siasa kumdhibiti mwanachama anae tofautiana nacho. Huu ni wakati muafaka wa kumpa haki kamili raia wa Tanzania ya kuweza kuchaguliwa au kuchagua. Mtanzania awe na uhuru wa kugombea mwenyewe au kama sehemu ya chama cha siasa. Hili likiweko Raia ataheshimiwa na kuthaminiwa zaidi kuliko ilivyo sasa.
Amandla...
lissu kishawaharibia wenzie sasa hawataweza kushiriki uchaguzi mwaka huu maana hawajasaini maadili
Kama CHADEMA hawashiriki sihangaiki hata kidogoMwaka huu sipigi kura , mana kupiga kura ni kuinajisi demokrasia, kwa nini nipoteze mda kupiga kula wakati mshindi kashapangwa.
Vyama pandiki 17Vyama vipo 18 waende huko, CHADEMA hakishiriki najisi
Huu ubabe ni kwa sababu mnajua kuwa hawawezi kugombea bila kujiunga na chama kingine. Na kuwa vyama mbadala ni vichache sana. Hamtakijenga chama chenu kwa mtizamo huo maana uvumilivu wa kutofautiana mawazo katika chama ndio inakipa uhai.Vyama vipo 18 waende huko, CHADEMA hakishiriki najisi
Huu ubabe ni kwa sababu mnajua kuwa hawawezi kugombea bila kujiunga na chama kingine. Na kuwa vyama mbadala ni vichache sana. Hamtakijenga chama chenu kwa mtizamo huo maana uvumilivu wa kutofautiana mawazo katika chama ndio inakipa uhai.
Amandla...
Wala haijawahi kuidai. Na sijawahi kuwasikia wakiizungumzi. Kukaa kimya kwao ni kuwa wanakubaliana na status quo. Kitu ambacho si ajabu. Kuwepo kwa mgombea binafsi kutawaondolea moja ya silaha ambayo wao na vyama vingine wanaitumia kuwa discipline wale wanao waona kuwa watukutu...sina kumbukumbu ya Chadema kama taasisi kupinga uwepo wa wagombea binafsi.
Wala haijawahi kuidai. Na sijawahi kuwasikia wakiizungumzi. Kukaa kimya kwao ni kuwa wanakubaliana na status quo. Kitu ambacho si ajabu. Kuwepo kwa mgombea binafsi kutawaondolea moja ya silaha ambayo wao na vyama vingine wanaitumia kuwa discipline wale wanao waona kuwa watukutu.
Natarajia wataitumia hivi karibuni dhidi ya Sigrada na baadhi ya G55. Sio bure Heche kuzungumzia umuhimu wa nidhamu jana na specifically kumtaja Sigrada. Itakuwa uonevu mtupu.
Amandla...